UncleJoe
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 624
- 508
wataalam nimeshangazwa na hii modem wakati nafungua dashboard nikaona imesoma 26.2Mbps nikahisi macho tu ikabidi niangalie kwenye statistics nikaona kweli ilifika huko japo iligusa tu na kurudi chini ikabaki kucheza kwenye 11Mbps na 13Mbps kwa muda kidogo nikahisi kama ina mtindio kidogo ila cha ajabu muvi iliyokuwa imeanza kudownload ikawa imeandika 9minutes remained na ikacomplete baada ya huo muda...
kitu ambacho sielewi ni kuwa hii modem ni huawei e303 ambayo nadhani limit yake ni 7.2Mbps download speed sasa imewezaje kufika huko kote au kuna kitu sielewi hapa,
cc chief-mkwawa, NingaR Mwl.RCT njunwa wamavoko nurbert na wengine mnaojua hizi mambo za modem mnisaidie kunifafanulia