Hii mnai-handle vipi wakuu

doppla2

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
1,391
Reaction score
1,458
Ni mwezi wa pili sasa nikiwa nchi jirani hapa ukanda wa kusini mwa jangwa la Sahara.

Ukweli pamoja na ratiba tuliyonayo ya siku kuwa busy, haisee upweke bado ni kero inayoninyima kuyafurahia maisha .

Nilijiapiza kuwa mwaminifu hadi ntakaporejea home kwa my sweet baby, ila kadri siku zinavyoenda nahisi nadhiri hii uenda istekelezeke.

Nimemiss kumuona my love akinishika vidole, uku aniangalia usoni akinisemesha vijineno vile.... Bae umenikunja leooooo........kidume hapo self esteem inapaa mpaka mbinguni.

Kadri navyommiss ndivyo nyege zinavyoninogesha.... Bad thing mtaa tuliobase huku tunalazimika kupata vyakula sehemu za public zenye kila aina ya uumbaji wa Mungu...... Najua mmenielewa

Ni hayo tu wakuu *******

Hebu tushirikiane kupeana uzoefu kwenye hali kama hizi , mliwezaje kulejea salama home bila kuvunja viapo

Ladies ushauri wenu pia utanisaidia ku-nevigate in this situation

# upweke unabore ile mbaya #
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…