Hii mizinga ya marvel si mchezo

Richmoto Kushmoto

JF-Expert Member
Jan 18, 2021
549
557
list yote kwenye picha hapo

Bila kusahau wameachia series ya hawkeye clint (jeremy renner) kakiwasha kwelikweli nipo episode ya 03 nazani wanaachia moja moja alafu sasa jamaa kumbe alipata shida kutosikia vizuri asee embu itafute

series nyingine inaitwa mayor of kingston hii ni kisanga ndani yupo jeremy renner kacheza kama mike
series inaangazia mtu mwenye nguvu amabaye anaweza kupindisha sheria sio kuvunga

mitch ni kaka mkubwa wake mike yeye ndo anendesha mji na yeye meya ingawa meya mwenyewe yupo lakini ukiuliza meya yukwap utapelekwa kwa mitch badala ya meya mwenyewe jama ni mafia alafu ana channel episode kwanza kuna muhuni akamuua mitch ikabidi mike aingie kazin amsake muuaji itafute utaja niambie


#Cowboy bebop series ya kibabe wahuni kazi yao kukamata wahalifu na wale most wanted lakini ikiwa kwa pesa sio bule bule ila polisi wenyewe awafanyi kazi wanasubiri wahalifu waletwe yaani inshort polisi hawafanyi kazi

embu itafute utaja niambia

upcoming movie from marvel zipo kwenye picha hapo

nasubiri kwa spider man no way home



Screenshot_20211204-070122_Opera%20Mini.jpg
 
Movies zao za mwaka huu hazikuwa kali. Nimeipenda tu Black widow. Nayo hasa sababu ya humour.
 
Back
Top Bottom