Unasikitisha sana wewe kiumbe mwenye fikira za kijasiriamali kila kona mwili wako.Waafrika badala ya kutafuta suluhisho tunalalamika lalamika Kama mbuzi aliyempoteza mamaye
Hizo ni changamoto kwa wateja lakini ni fursa kwako angalia mbele tafuta suluhisho
Mwaka 2008 nilipanga foleni kuanzia asubui saa 2 asubui hadi saa 10 jioni kulipa ada pale nmb clock tower arusha lakini Sasa hivi haya Mambo hakuna tena kwanini? Kwa sababu watu wameona fursa na kuleta mabadiliko acha kulalamika tumia fursa hiyo
hebu elezea hiyo fursa mzee babaWaafrika badala ya kutafuta suluhisho tunalalamika lalamika Kama mbuzi aliyempoteza mamaye
Hizo ni changamoto kwa wateja lakini ni fursa kwako angalia mbele tafuta suluhisho
Mwaka 2008 nilipanga foleni kuanzia asubui saa 2 asubui hadi saa 10 jioni kulipa ada pale nmb clock tower arusha lakini Sasa hivi haya Mambo hakuna tena kwanini? Kwa sababu watu wameona fursa na kuleta mabadiliko acha kulalamika tumia fursa hiyo
Ukiona hvyo ujue serikali wanahusika moja kwa moja ndiyo maana wote wanapandisha kwa pamojaHIvi sisi wateja wa huduma za simu ni nani mtetezi wetu? Kila siku haya makampuni yanatupandishia bei za huduma zao wanavyojisikia na hakuna wa kuwadhibiti!
Mwezi Januari nakumbuka TCRA walitoa ahadi kwa wananchi kuwa wamesikia kilio chetu kuhusu ughali wa gharama za mitandao ya simu na kuitaja tarehe 28 Februari kuwa siku ya kutangaza muarobaini wa tatizo hilo. Mpaka leo tarehe 2 Machi kimyaaaaaaa. Kama hawapo. Mambo kama haya huondoa imani kwa vyombo vyetu.
Sasa kama mtetezi wetu ndio hivyo hatusikii sauti yake, tunafanyaje? Dawa ni kuanza kususia makampuni haya ya kinyonyaji na kuhamia yenye nafuu.
TIGO ndio wamezidi kabisa. Bando la internet walilozoea kuniuzia kwa Tsh. 10,000 GB 7 kwa mwezi, leo wananiuzia GB 2.5 kwa bei hiyo hiyo ya Tshs 10,000 kweli? Inauma na haivumiliki.
Huu ni uhuni na wizi wa wazi kabisa. Huduma yao haijawa bora hivyo kiasi cha kupanda thamani kiasi hicho na kushusha thamani ya pesa yangu mteja.
Motivesheno spikaWaafrika badala ya kutafuta suluhisho tunalalamika lalamika Kama mbuzi aliyempoteza mamaye
Hizo ni changamoto kwa wateja lakini ni fursa kwako angalia mbele tafuta suluhisho
Mwaka 2008 nilipanga foleni kuanzia asubui saa 2 asubui hadi saa 10 jioni kulipa ada pale nmb clock tower arusha lakini Sasa hivi haya Mambo hakuna tena kwanini? Kwa sababu watu wameona fursa na kuleta mabadiliko acha kulalamika tumia fursa hiyo
Ukishakuwa na fikra za kulia lia hauwezi kuona fursa. Kama unaona kupiga simu ni gharama mfuate huyo ndugu yako mkaongee ana kwa ana.hebu elezea hiyo fursa mzee baba
Watu muhimu sana hao maana kuna watu bila kuwatia moyo na kuwakumbushakumbusha hawawezi kujitambua.Motivesheno spika
wewe una matatizo bila shaka, wakati unaoa ulituma washenga wakabargain bei ya mahari kwa wakwe zako mbona hukusema ukamuoe dada yako bure!?Ukishakuwa na fikra za kulia lia hauwezi kuona fursa. Kama unaona kupiga simu ni gharama mfuate huyo ndugu yako mkaongee ana kwa ana.
Watu watumie gharama kununua mitambo ya kuunganisha mawasiliano alafu wewe mpuuzi mmoja uje kulia lia gharama ni kubwa? Umeshajiuliza watu wametumia rasilimali kiasi gani kufanikisha Jambo hilo?
Nenda lab fanya tafiti vumbua mbinu yako ya kuwasiliana alafu punguza bei au fanya bure kabisa
Uholanzi inaishi juu ya maji, kuna nchi kila siku barafu imetanda juu ya nchi hao watu Kama wasingekuwa wabunifu na kutafuta suluhu ya matatizo yao wangekua hai kweli? Achane kulia lia tafuteni suluhu Kama hamna ongeza kipato chako kukidhi mahitaji yako.
Huu ndo ukweli na ndo maana waziri husika amekaaa kimyaaa asijue lakufanyaa!Hawawezi kupandisha bei za vifurushi bila sababu.. itakua wameongezewa kodi au gharama za uendeshaji zimepanda au vyote kwa pamoja.. nahisi serikali imejificha nyuma ya hili. Wakiicha mitandao ikitupiwa lawama na wananchi
Hamieni Halotel wazee...kuna afuheni kidogoKama airtel ndio ngombe kabisa..mtandao umezingua network inakata kila muda.
#MaendeleoHayanaChama