Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,255
ha ha ha jf hamuna
Vp kwani naongea vitu tofauti na umri wangu au?
Nilikua najaribu tu kufikiria nani alimkimbia mwenzie!
Nimekimbiwa mimi😒😒😒😒,usimwambie mtu🙈🙈🙈
Ingekuwa vizuri kungekuwa na JF get together annually!
alafu uje ukutane na kina lizabon huko si unaweza kuuwa kabisa kweli mi sitakuja kaeni nyinyi...
Yaani acha tu, kwa sababu swaga nilizoingia nazo sikuwahi kufanya hapo nyuma huku nikiamini nakwenda kukutana na mbebizi wa ukwefe
Yatawakuta wengi...lol
Yakikuta nawe ntakucheka😀😀😀😀