Hii mitandao ya kijamii hii

Kunguru akinyea ugali unaupindua unakula ule wa chini, so ukikutana nae yuko tofauti na ulivyofikiria unakula mzigo siku hiyo hiyo then unasepa
 
Hahahaha, mimi tulishawahi bishana sana u so kwa uso. Mimi nasema sio yeye, halafu yeye kakazana ndio mimi.
Nikamuuliza kwani umepata ajali?
 
Hahahahaaaa hatari sana.

Mimi kuna mwana mmoja hapa jf amekua akinilazimisha kwamba I'd ya figaniga ni yakwangu. Basi nilikataaaa hata mwisho nikaona nikubali pengine aridhike.
 
Hahahaha, mimi tulishawahi bishana sana u so kwa uso. Mimi nasema sio yeye, halafu yeye kakazana ndio mimi.
Nikamuuliza kwani umepata ajali?

Hahaaaahaaaaa.......
Jf bhanaa raha sanaaa
 
Kuna watu wa ajabu sana.Ukimuambia ukweli hataki, mtu kama huyo huna jinsi zaidi ya kumdanganya ili aridhike.

Mimi kuna mwana mmoja hapa jf amekua akinilazimisha kwamba I'd ya figaniga ni yakwangu. Basi nilikataaaa hata mwisho nikaona nikubali pengine aridhike.
 
Hahahahaa! Ila mkuu hukutumia busara, ukikutana na mtu halafu akawa tofauti na matarajio yako usimuoneshe, kaa kimya tu halafu unaanza kumpotezea taratibu.

Hahahaha, mimi tulishawahi bishana sana u so kwa uso. Mimi nasema sio yeye, halafu yeye kakazana ndio mimi.
Nikamuuliza kwani umepata ajali?
 
Mimi kuna mwana mmoja hapa jf amekua akinilazimisha kwamba I'd ya figaniga ni yakwangu. Basi nilikataaaa hata mwisho nikaona nikubali pengine aridhike.

Wewe acha mambo zako figaniga namjua ni pande la mwanaume afu bado yanki kichiz...! I know the man.
 
Mi yalinikuta tofauti kidogo. Alipitiliza matarajio...... nikasepa mbaya!!

Najua. Ni UOGA ila nilisepa! Hiyo ni zama za yahoo chat.
 
Mwenyewe ulitegemea utakutana na mbebez wa ukweli.
Yaani acha tu, kwa sababu swaga nilizoingia nazo sikuwahi kufanya hapo nyuma huku nikiamini nakwenda kukutana na mbebizi wa ukwefe
 
mi najikubali hata mtu akisema mbaya vipi!huyo kwenye avatar ni mimi halisi!ukisema nimekosa hiki na hiki mi najua nnacho kile na kile ambacho wengi hawana!!
 
Dah acha tu inanikumbusha mbali sna. Mtt mmoja alikua anaitwa Shadya nilidata lkn siku nakuja kukutana nae alinikaribisha ghetto kwake duuh tofauti na mategemeo yangu, Ilibidi nimtext rafiki yangu anipigie na kuniambia nyumbani kuna dharura naitajika haraka mana dem sio"
 
Ndo mana mi huwa sitaki kuweka AVATAR
 
kuna mdada nilimkimbia mitaa ya sinza, maana nilianza kumuona kabla hajaniona.
 

Hiyo avatar ni yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…