Hii miradi inaifanya Nairobi kuwa zaidi ya Ulaya; wenzetu njooni mtalii, hamna haja ya kwenda Ulaya kushangaa shangaa

Hehehe Demand inaongezeka than Expected Dogo Na Ndio Maana Serikali inatafuta Muwekezaji Mpya kwnye Miradi mingine ya BRT

Fanyeni hima maana watoto watabakwa sana, hebu ona bila hatat aibu...

2323564_IMG_20200302_084059.jpg
 
Wakenya washamba sana asubuhi na jioni huwa watu wapo wengi hiyo ni kawaida nchi yoyote alafu lazima changamoto ziwepo.Ebu wakenya leteni mradi wowote mzuri kama huu kenya nzima.
 
Hehehe!!!! Hawa ni balaa, haya mabasi wanayaingilia hata dirishani ila wanakuambia wanataka wafanane na Ulaya...


b280734325a5b108581d15eac2fa5924.jpg
Haya ni mambo ya vijijini zama zile kabisa, jamaa hupitia dirishani kw sababu kulikua na uhaba wa vyombo vya usafiri..
 
HAHAHAHAHAHAHAHAH 🤣 🤣 🤣 🤣 😹 😹 😹 😹 🙊 🙊 🙊 🙊 AIBU ILIYOJE?
 
Typically a Kenyan way of creating "new FISADI's ".If among u benefited from Covid19 fund..I'm sure some of 700m Kshs will end up in some peoples pockets..I wonder why Kenyan never learn from their mistakes..
 
Back
Top Bottom