Hii menu imenichekesha kweli

Hahahahahaaaaa! Jamaa umenifurahisha sana, hasa hiyo "MBAINAMBLE" unajua wakikuyu wengi hupenda kuongeza "m" na "n" ambapo sipo, mfano: sambato, kambati, ungoro, kimberiti, bamba(baba), karimbu,n.k.
Na pia kuna wengine huondoa hizo herufi na kutamka hivi: tebea, naeda, nyubani, n.k. Yaani kama ana mafua vile!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…