Hii memory card sii elewi

Hii memory card sii elewi

danmarc

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2012
Posts
575
Reaction score
146
Niaje wakuu. Nilinunua memory kadi 1gb kama wiki 1 hv iliyopita. Nilipoiweka kwny simu ilijubal na pia inaonyesha ina gb 1. Lakini tatizo ninapodownload file na kuliweka kwny memory kadi mara lifunguke mara likatae .lakini imeanza kuonesha na mafile mengine ambayo sielewi yametokea wapi isitoshe hayo mafile yana majina ya ajabu ajabu ambayo siyaelewi.nikijaribu kuformat, haya mafile hayafutiki. Na nikijaribu kuyafuta mojamoja napo inakataa na kuniletea ujumbe wa "no entry". naomben msaada wenu.mi natumia samsung sgh j700 na sim yangu ni mzima kabisa mana memory kadi zingne znakubal.
 
Mkuu najua haitakupendeza lakini vitu vingine vinakera kweli, bila shaka huyo ni mchina mi nakushauri tupa kwenye dust bin halafu tafuta mpya kutoka taiwani yaani made in taiwan hawa jamaa memory zao nzuri sana
 
Back
Top Bottom