Ni mashine ya kulazia matofali au kuweka Paving. Utagundua kuwa kuna nafasi ya ziada chini ya inapoishia rangi ya njano. Hiyo ni kwa sababu inaweza kurekebishwa ili kubeba saizi nyingi tofauti za barabara.

Ndio athari ya teknolojia, tunakoelekea watu wengi tutakosa ajirra sababu ya teknolojia mzee, haikusubiri wala kukufata, ila wewe ndio uifate.
Kazi ya watu 10 kwa masaa 10 inaweza kufanywa na machine(operator mmoja) kwa chini ya lisaa, hapo ajira lazima ziende na maji.