hii maana yake nini??

Smarty

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
776
Reaction score
437
nipo mahali nafuraiha mwisho wa week baada ya kazi nzito ya kusaka noti week nzima.. Ghafla naangaza juu angani naona kama mwezi umetengeneza duara...hivi hii kitu maana yake nini kisayansi??? Wenzangu hapa wanasema ni dalili za mvua nyingi mwaka huu ... Kwa mwenye kjujua naomba anifahamishe
 
hata waganga wa jadi maarufu walianza kwa style hii hii
 
ngoja waje maprofesa wenzio wanazuoni wa unajimu wa nyota
 
mhudumu ashakuhudumia round ngapi mpaka sahizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…