mshana jr alishawahi kuzungumzia hiyo alama maana ake
Kuna Swastika mbili ambazo zinachanganya sana watu ila moja ndio halisi huku nyingine ikiwa imefanyiwa editing kukidhi matakwa ya mtu mmoja
Nadhan ulijiunga jf kwa sababu maalumu. Sijawahi kujuta kukufahamu. Asante sana na Mungu akubarikiKuna Swastika mbili ambazo zinachanganya sana watu ila moja ndio halisi huku nyingine ikiwa imefanyiwa editing kukidhi matakwa ya mtu mmoja
Karibu dini zote zinatumia hiyo alama hebu ona hapaView attachment 360201hii ndio swastika asili
Halafu hii ni swastika ya hitler, hii imepinduliwa na iko kinyumekwa maana ya Hitler swastika hii maana yake ni socialism, lakini ukija kuangalia ni alama iliyotumika na majeshi ya Nazi yaliyokuwa na ukatili mkubwa akiwemo Hitler mwenyewe
Kwa muktadha wa Buddhism hii ndio maana ya Swastikaona tofauti zake
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Akili kubwaz mshanazzz!
Asante kwa Elimu hii mkuu
Kwa habari zaidi, bonyeza hapa;
Why did Hitler choose swastika symbol as the emblem in the Nazi flag?
Kwahiyo?mshana jr alishawahi kuzungumzia hiyo alama maana ake
Meditation ni kama moto Inategemea unautumiajeMshana nipe kile unachojua khs meditation ni zuri au mbaya,?
Just kwa kuwa focus, health na organisedMeditation ni kama moto Inategemea unautumiaje
Then it is very fruitfulJust kwa kuwa focus, health na organised
Nafanyaje hiyo meditationThen it is very fruitful