Hii laptop ni nzuri kwa Gaming?

geometry

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2014
Posts
466
Reaction score
359
Ni lenovo ideapad
core i7 3rd generation
ram 8gb DDR3
graphics dual intel na nvidia(610M)
 
Hiyo pc ipo vizuri Nafikiri utacheza games nyingi kwa low setting hadi medium
 
duh gpu inakuangusha hiyo , hapo ni low settings kwa game zote zinazoeleweka
 
Naomba kuelimishwa...mnavosema low setting ndo inakuwaje?
Unapofungua gemu kuna sehem ya option setting. Kweny option utakutana na graphic setting. So apo kwenye graphic ndo unapunguza ubora wa vitu mbalimbali unaweka low.
 
Naomba kuelimishwa...mnavosema low setting ndo inakuwaje?
nvidia 610m ni gpu ndogo sana kuna baadhi ya games hata kwa low setting hutacheza, mwenye laptop ya 4th gen isio na dedicated gpu anakupita kila idara. hata gpu yako ya ndani intel hd4000 ambayo inakuja na 3rd gen cpu inaipita hio nvidia hivyo kwenye games ni bora hata uchague gpu ya ndani badala ya hio nvidia, unless hilo game limekuwa optimized sana kwenye nvidia badala ya intel hd

pia kama una ram ndogo (chini ya 6gb) si busara kutumia hio internal gpu sababu ukicheza games hio internal humega ram kiasi kadhaa na kuitumia.

low setting kwenye games inamaanisha unapunguza quality ya graphics kwa vitu kama resolution, shadow, texture, details za vitu etc, kwa lugha rahisi mwenye gpu kubwa anaona vitu vizuri kama ni sura inakuwa kama ya kweli, wakati mwenye gpu ndogo vitu vinafifia fifia na havionekani vizuri.
 
Unapofungua gemu kuna sehem ya option setting. Kweny option utakutana na graphic setting. So apo kwenye graphic ndo unapunguza ubora wa vitu mbalimbali unaweka low.

Wakuu nawashukuru kwa maelezo...Sasa performance effect gani inatokea endapo unacheza game kwa high setting wakati uwezo wa graphics ni mdogo au huwa ina switch yenyewe kutegemea na graphics iliyopo?
 
Wakuu nawashukuru kwa maelezo...Sasa performance effect gani inatokea endapo unacheza game kwa high setting wakati uwezo wa graphics ni mdogo au huwa ina switch yenyewe kutegemea na graphics iliyopo?
Gemu kustuck, kukwamakwama, movement kuwa slow sana.mfano mtu kama anatembea basi anatembea taratibu mno. Sauti kupishana na matendo. Sauti inatangulia tendo linachelewa. Na hata gemu kujiexit (kujiquit) .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…