Jaribu kufanya kama vile unainstall Ubuntu, tumia CD ya Ubuntu, and then jaribu kufanya kama unataka ku-install Ubuntu. Inakubali? Kama inakubali, ikifika mahali pa kuchagua drive ya installation, chagua hiyo drive yenye ubuntu kwa sasa, kisha format. Ikishaformat zima computer yako na usiendelee tena na hiyo installation, badala yake, anza installation ya Windows (kwa sasa hapatakuwa na OS yoyote)
Kwani upo wapi? I hope this helps.