Hii kweli ni mpya.


Kuna vitu kaagizwa na sangoma akufanyie. Mtimue aende zake ndio uchape usingizi wako
 
ndio sikupendi napenda pochi yako ndo maana nakushauri uilinde kwa means yoyote AU TIA UFUNGUO MDOMONI KAMA VILE UKIWEKA PIPI MDOMONI


haibiwi mtu hapa.. Haha haaa
 
embu jifanye umelala afu uone atafanya nini? alafu ulete mrejesho
 

Ya faragha ni yapi hayo? Au mi ndo NIMIZEEKA???
 
Hahahaaaa, labda uliperform chini ya kiwango, kwa hiyo alitaka upumzike ukiamke utoe dozi ya uhakika.....who knows!!!!?

Namimi nilitaka kumwambia hivo mana kama shughuri ilikuwa pevu lazima angepumzika hata kwa dakika chache
 
We lala tu, ukiibiwa hutakuwa wa kwanza, ukipigwa bisu hutakuwa wa kwanza
 
yaani wewe siyo askari na uashari siyo lazima upite jkt, ungelala kwa style ya kumbana yeye hata akitaka kutoka lazima akuamshe, yaani yeye yuko chini wewe juu kidogo miguu yake umeibana, au ungejifanya umelala ili ujue anataka kufanya nini na fika anaonekana si rafiki mwema kwako kuna kitu anataka
 
wizi huyo kwani anataka akufanye nini looo????
 
Uzinzi ni adhabu kweli. Sasa hata kumuamini ukasinzia nae huwezi?

watu8 njoo utoe nasaha

Best ni ngumu sana kumshauri mzinzi akakuelewa...ndio maana kukaletwa lile gonjwa lililowekwa mahali pabaya ili iwe adhabu kwa wote wazinio
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…