Nina rafiki yangu wa kike tunapendana!
Alikuja kwangu, tukaongea mambo mengi na tukafanya ya faragha pia.
Baada ya hapo mdada analazimisha nipumzike yaani nilale usingizi.. Nikamwambia mwenzio hata nifanye kazi gani siwezi kulala mchana wala jioni, kulala kwangu saa tano au sita usiku.
Anadai kama sitolala muda ule haji tena kwangu!!
Funga mlango meza ufunguo ndo ulale
Nina rafiki yangu wa kike tunapendana!
Alikuja kwangu, tukaongea mambo mengi na tukafanya ya faragha pia.
Baada ya hapo mdada analazimisha nipumzike yaani nilale usingizi.. Nikamwambia mwenzio hata nifanye kazi gani siwezi kulala mchana wala jioni, kulala kwangu saa tano au sita usiku.
Anadai kama sitolala muda ule haji tena kwangu!!
anataka umuote maana live anahisi hujatoshekaNina rafiki yangu wa kike tunapendana!
Alikuja kwangu, tukaongea mambo mengi na tukafanya ya faragha pia.
Baada ya hapo mdada analazimisha nipumzike yaani nilale usingizi.. Nikamwambia mwenzio hata nifanye kazi gani siwezi kulala mchana wala jioni, kulala kwangu saa tano au sita usiku.
Anadai kama sitolala muda ule haji tena kwangu!!
dah? Kweli majanga
.umemaliza mkuu, nadhani jamaa kashindwa kung'amua hilo...Hahahaaaa, labda uliperform chini ya kiwango, kwa hiyo alitaka upumzike ukiamke utoe dozi ya uhakika.....who knows!!!!?
Haaaa haaaa haaaaa! atamuibia huyo
kweli wewe hunipendi. Haha haaa