Hii kwa wanandoa inamaana

MAKRESH MMAKA

Senior Member
Apr 14, 2013
155
19
Kiukweli katika huu ulimwengu wa sasa kuna umuhimu kwa wanandoa kuangalia video za ngono na je kama ni muhimu basi haina haja kukaa jando na mafunzo jinsi ya kuishi na kudumu katika mahusiano ya kimapenzi .tena baadhi ya wanandoa huwa wanazile za kuingiliana kinyume na maumbile.hii imekaaje jamani kitu kama sielewi.
 
Hamja elewa nini sasa

Wewe ni mwanandoa au sio mwanandoa?

Je umeshawahi kuangaliaga hizo picha za ngono?
Kama tayari, ni style gani unazipenda?
Kama bado, umejuaje kwaba kuna picha kama hizo?

Mara yako ya mwisho kusikia neno mpumbavu ni lini?

Hivi unajijua wewe ni nani? Kama unajijua hebu jielezee kidogo?
 
Na hapo ndipo ndoa nyingi zinafail,watu wanaconcetrate kwenye mikasi tu wakizoeana wanaanza kusaliti ndoa zao ndoa ni muunganiko wa 2souls ukifail kumpata soulmate wako ka mie usiingie kwenye marriage utaharibu 2
 
huwa nangalia picha za ngono incase nimeona kupitia simu ya mtu au web site au kwa rafiki zangu lakini siwezi kuweka picha ya ngono nianglie mie binafsi au na mke wangu maana sioni kinachonifundisha zaidi ya kuniaribu uwezo wanagu na kuona kwamaba sisi hatujui kufanya mapenzi..nakutufanya tufanye upuuzi wanaofanya wao wakati wao wakwo kwenye biashara na kutuchochea tutoke nje ya ndoa.

Mapenzi ya ndoa ni kufundishina na ndoa ni zaidi ya kufanya mapenzi.
 
kuna wanandoa huwa wanaangalia wakiwa pamoja je hawa nao tuwachukulieje
 
Wewe ni mwanandoa au sio mwanandoa?

Je umeshawahi kuangaliaga hizo picha za ngono?
Kama tayari, ni style gani unazipenda?
Kama bado, umejuaje kwaba kuna picha kama hizo?

Mara yako ya mwisho kusikia neno mpumbavu ni lini?

Hivi unajijua wewe ni nani? Kama unajijua hebu jielezee kidogo?

Hahhaaahhaaaa,we mchokozi eeh
 
Back
Top Bottom