Jana, wakiwa katika semminar ya siku moja, wajumbe na mwenyekiti wao, Sekretarieti ya ajira wametangaza mpango wao wa kutaka kuanza kupokea maombi ya ajira kwa njia ya kielekronic. Sababu yao kuu ni kupunguza msongamano wa barua ofisini kwao.
PS. Hawajabainisha wazi kwamba itakua kwa njia ya Email au itabidi tufanye registration kwanza/kua na account ndio una apply.
Mi naona hii itapunguza gharama kwa waombaji, ila pia nna mashaka kama zitakua zinasomwa kweli hizi application zote.
Wanaenda kuliua shirika la posta.

hahaha.. hahha... sema ndio CV ya huyu watakapo mpa yule.
hiyo ni nzuri sana kwa sababu jana nimepita posta (mjini) nimeshuhudia watu wakituma barua za maombi nyingi zikielekezwa huko. kwa upande mwingine wataiua kampuni yetu POSTA SABABU KWA SASA NI KITEGA UCHUMI CHAO KIKUBWA