Hii kozi ya Bsc aquaculture bila field!

Hii kozi ya Bsc aquaculture bila field!

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,909
Reaction score
18,551
Baada ya loan breakdown kutoka nimeona wanafunzi wote wanaosoma Bsc I. aquaculture hawajapangiwa pesa za field and practical training.
Ina maana hii kozi huwa hawaendi field au?

Hivi kweli mwanafunzi akae chuoni tu halafu utegemee awe na uwezo wa kusaidia wa kujiajiri na kusaidia wafugaji wengine wa samaki bila ya kwenda field?

Bila ya kwenda field ni kupoteza pesa kumfundisha mtu nusu nusu! Huko siyo kuokoa pesa Bali ni kufuja pesa! Ni kuzalisha wataalamu wasiojua hali halisi ya nyanja walizojifunza, na inauma sana!
 
Hapana mkuu hua wanaenda mwaka wa pili ila mwaka wa kwanza hawaendi na ndio maana hawaja wekewa katika loan allocation ya mwaka huu(yaan wa kwanza). Asante
 
Back
Top Bottom