Hii kozi inatolewa chuo gani dar es salaam

Hii kozi inatolewa chuo gani dar es salaam

XII Tz

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2020
Posts
4,350
Reaction score
7,102
Wakuu

Hii kozi ya mass communication inatolewa kwenye chuo gani ambacho kipo dar es salaam ukiachana na UDSM, na ada zake zipoje maana nimejaribu ku-google ila naona mapicha picha tu.
 
Wakuu

Hii kozi ya mass communication inatolewa kwenye chuo gani ambacho kipo dar es salaam ukiachana na UDSM, na ada zake zipoje maana nimejaribu ku-google ila naona mapicha picha tu.
Digrii tudarco wanatoa
 
Unataka vyuo vya kata kumbe. Levo ya cheti na diploma nenda DSJ Ilala
 
Wakuu naulizia level ya Degree
 
Wakuu naulizia level ya Degree
THE OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA
Ni kiboko yao....
IMG-20230214-WA0006.jpg

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom