ngalelefijo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2012 Posts 4,147 Reaction score 2,832 Dec 10, 2015 #61 mkali wao said: Yaan daaah ikitokea hivyo tutafurah wengi Click to expand... .yaani we acha tuu mkuu,mbwembwe nyingi halafu nape waziri???eti na manyanya pia???
mkali wao said: Yaan daaah ikitokea hivyo tutafurah wengi Click to expand... .yaani we acha tuu mkuu,mbwembwe nyingi halafu nape waziri???eti na manyanya pia???
brenda18 JF-Expert Member Joined Sep 17, 2013 Posts 5,687 Reaction score 5,301 Dec 10, 2015 #62 mkali wao said: Lakini dalili ya mvua ni mawingu... Usinambie kwa nyomi lile na m4c yote eti watu walimsaliti kwenye kumpigia kura... Big NO! Click to expand... Wewe unauhakika wale wote walikua m4c kweli,uchaguzi huu nikupe tu siri ni vijana wa Ukawa wamejisaliti wenyewe, katika msafara wa mamba kenge nao wapo
mkali wao said: Lakini dalili ya mvua ni mawingu... Usinambie kwa nyomi lile na m4c yote eti watu walimsaliti kwenye kumpigia kura... Big NO! Click to expand... Wewe unauhakika wale wote walikua m4c kweli,uchaguzi huu nikupe tu siri ni vijana wa Ukawa wamejisaliti wenyewe, katika msafara wa mamba kenge nao wapo
SectionTwenty JF-Expert Member Joined Aug 3, 2013 Posts 675 Reaction score 614 Mar 4, 2019 Thread starter #63 Naanza kuyajutia haya maneno yangu, lizee linafki sana hili[emoji35][emoji35][emoji35] Sent using Jamii Forums mobile app
Naanza kuyajutia haya maneno yangu, lizee linafki sana hili[emoji35][emoji35][emoji35] Sent using Jamii Forums mobile app