kunguni wa ulaya
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 4,131
- 6,140
Tani 100? Hicho kitu ni kikubwa sana ambacho sio rahisi kuokotwa na mtu kwa maana hata kg 50 sio rahisi kuokotwa.
Hhahaha tani 100? Kuna mtu naweza kuokota gari?
Hata mimi nilijiuliza hvyo hivyo.sasa huyu aliyeanzisha hii meseji inayosambaa ana maana gani sasa?
Tani 100? Hicho kitu ni kikubwa sana ambacho sio rahisi kuokotwa na mtu kwa maana hata kg 50 sio rahisi kuokotwa.
Habari zilizotufikia hivi punde. Mtanzania yeyote: kaa makini usiokote kitu chochote ambacho una mashaka nacho, kuna bomu zimerushwa toka nchi jirani Malawi/Rwanda zaidi ya 30 zenye uzito usiopungua tani 100. Hivyo basi uonapo kitu kipo kama chupa la chai chenye rangi ya fedha "usikiguse" piga namba 0756000042. SMS hii tuma kwa watu uwezavyo: Imetolewa na JWTZ/ LSL5CAMRM: Asante. JAMBO HILI USILICHUKULIE UTANI KAMA MESEJI ZINGINE ZA UTANI MNAZOTUMIANA !forwarded as received
Na ukisoma thread yake amesema kina ukubwa kama. Hupa ya chai. Sasa kuna mtu anaweza kushindwa kuokota chupa ya chai?Hapana. Anamaanisha kuwa japo bomu ni dogo kiasi hata cha kutofikia ukubwa wa ngumi, lakini mlipuko wake ukitokea una madhara yanayoweza kulingana na kitu chenye ukubwa wa tani 100!
Habari zilizotufikia hivi punde. Mtanzania yeyote: kaa makini usiokote kitu chochote ambacho una mashaka nacho, kuna bomu zimerushwa toka nchi jirani Malawi/Rwanda zaidi ya 30 zenye uzito usiopungua tani 100. Hivyo basi uonapo kitu kipo kama chupa la chai chenye rangi ya fedha "usikiguse" piga namba 0756000042. SMS hii tuma kwa watu uwezavyo: Imetolewa na JWTZ/ LSL5CAMRM: Asante. JAMBO HILI USILICHUKULIE UTANI KAMA MESEJI ZINGINE ZA UTANI MNAZOTUMIANA !forwarded as received
Hahaa imejirudia hakuna kitu kama hicho ni mbinu moja wapo ya mitandao kujiingizia hela tu usiogopee
Sidhani kama m2 mwenye akili zake timamu anaweza akakubalia n hiki k2, kwan tani 100 jaman co mchezo halafu anasema n kama chupa ya chai, duuuu... inaelekea mnatuona ss n mabwege sn wa kuamni vtu vya kijinga kijinga.
ujumbe kama huu uliwai kuzagaa hapo kabla, hali iliyopelekea jwtz kutoa tamko kwa kukanusha habari hizi. lakini kwa akili ya kawaida tu ya kuvukia barabara. kweli mtu unaamini jeshi lingetakiwa kushughulikia jambo nyeti hili kwa kutuma sms?
Sio gari tu!, ni semi trailler iliyosheheni mzigo mpaka inatitia kwenye lami.
Hapana. Anamaanisha kuwa japo bomu ni dogo kiasi hata cha kutofikia ukubwa wa ngumi, lakini mlipuko wake ukitokea una madhara yanayoweza kulingana na kitu chenye ukubwa wa tani 100!
'The Little Boy' Hiroshima bomb lilikuwa na Kg 4,400.Hapana. Anamaanisha kuwa japo bomu ni dogo kiasi hata cha kutofikia ukubwa wa ngumi, lakini mlipuko wake ukitokea una madhara yanayoweza kulingana na kitu chenye ukubwa wa tani 100!
Hhahaha tani 100? Kuna mtu naweza kuokota gari?