Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,112
- 4,663
Unataka ushauri wa nini?Nilikuwa na Wanawake wawili ila ndani ya mwaka huu nimeachana nao wote
1:Tuliachana mwezi wa NNE sababu kubwa ni dharahu na jeuri
2:Mwezi huu pia nimeachana na mwingine
Ushauri ndani ya mwaka mmoja tumeachana na wanawake wawili
bado sijajua udhaifu wanguHebu eleza udhaifu wako tukushauri.
Huwezi kudharaulika bila sababu
acha ujingaElimu elimu elimu...sijui ni tatizo la ajira au ni nini?
Nilikuwa na Wanawake wawili ila ndani ya mwaka huu nimeachana nao wote
1:Tuliachana mwezi wa NNE sababu kubwa ni dharahu na jeuri
2:Mwezi huu pia nimeachana na mwingine
Ushauri ndani ya mwaka mmoja tumeachana na wanawake wawili
Mkuu hao mbona wachache sana mimi kwa mwaka nilikuwa naachana na zaidi ya 15+ sasa nimetulia na Me tooNilikuwa na Wanawake wawili ila ndani ya mwaka huu nimeachana nao wote
1:Tuliachana mwezi wa NNE sababu kubwa ni dharahu na jeuri
2:Mwezi huu pia nimeachana na mwingine
Ushauri ndani ya mwaka mmoja tumeachana na wanawake wawili
ha ha haaa lioneLkn c umewalala wote?!
ha ha haaa lione