Hii kisayansi tunaiitaje

Sawa je hili linafuta ukweli wa alichoandika?
Sasa Tapeli Bandekile Mwamakula ambaye hata kanisa lake halifahamiki liko wapi anaweza akaandika ukweli?

Jiulize kwa nini wenzie Moravian Mbeya walimtimua? Siyo kila anayevaa kofia ya uaskofu ni askofu!! Huyu na Mch Mashimo hawana tofauti
 
Mwenye picha aliibuka kupinga, sasa aliyetajwa Prof Ndashau amekana huyo sio yeye πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜„View attachment 3303404
Comments ziwe fupifupi
Mtu aliyetumia jina la mtu aliyekufa baada ya kurudia shule lazima mzimu umsumbue
Prof Michael hata ukirudisha picha yake miaka 20 iliyopita hawezi fanana Kailima wa UVCCM-Morogoro, Prof Michael kwa mbali anafanana na Chacha Wangwe
 

Attachments

  • 19231.jpeg
    250.3 KB · Views: 10
Hapo sasa pameeleweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…