Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,811 Reaction score 110,060 Feb 5, 2013 #21 acha maskhara mkuu...ninge-appreciate kama ungeihusisha walau kiduchu tu google katika jibu lako Mawenzi said: Hawezi akawa mwarabu. Wasichana wa kiarabu hawaruhusiwi kucheza michezo ya aina hii Click to expand...
acha maskhara mkuu...ninge-appreciate kama ungeihusisha walau kiduchu tu google katika jibu lako Mawenzi said: Hawezi akawa mwarabu. Wasichana wa kiarabu hawaruhusiwi kucheza michezo ya aina hii Click to expand...
La Biblicana JF-Expert Member Joined Jan 1, 2013 Posts 556 Reaction score 344 Feb 5, 2013 #22 grafani11 said: Kwa wenzetu ni kawaida kupigania kuweka rekodi katika kumbukumbu za dunia, ss tunakazana kuweka rekodi tunazojua wenyewe huku mitaani. Click to expand... Hata sisi tungeweka rekodi, ni vile tu hakuna aliye interest kurekodi ngono isiyo rasmi
grafani11 said: Kwa wenzetu ni kawaida kupigania kuweka rekodi katika kumbukumbu za dunia, ss tunakazana kuweka rekodi tunazojua wenyewe huku mitaani. Click to expand... Hata sisi tungeweka rekodi, ni vile tu hakuna aliye interest kurekodi ngono isiyo rasmi
Mawenzi JF-Expert Member Joined Sep 21, 2010 Posts 1,251 Reaction score 347 Feb 5, 2013 #23 watu8 said: acha maskhara mkuu...ninge-appreciate kama ungeihusisha walau kiduchu tu google katika jibu lako Click to expand... We bado unadhani huyo ni mmanga? Mbona sura yake inaonyesha dhahiri kuwa ni wa Far East??
watu8 said: acha maskhara mkuu...ninge-appreciate kama ungeihusisha walau kiduchu tu google katika jibu lako Click to expand... We bado unadhani huyo ni mmanga? Mbona sura yake inaonyesha dhahiri kuwa ni wa Far East??
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,811 Reaction score 110,060 Feb 5, 2013 #24 hakuna watu wanaobishana wewe...kuelekezana na kubishana ni mambo mawili tofauti La Biblicana said: Mimi sioni hata mnachobishania, kwani kuna sheria kwamba Mchina hawezi kufika Dubai? Wachina hata Uyui wapo Click to expand...
hakuna watu wanaobishana wewe...kuelekezana na kubishana ni mambo mawili tofauti La Biblicana said: Mimi sioni hata mnachobishania, kwani kuna sheria kwamba Mchina hawezi kufika Dubai? Wachina hata Uyui wapo Click to expand...
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,811 Reaction score 110,060 Feb 5, 2013 #25 teh! teh! ...mkuu mi sijui bhanaa, nina allergy na watu wa far east ndio maana naona ni mmanga!! Mawenzi said: We bado unadhani huyo ni mmanga? Mbona sura yake inaonyesha dhahiri kuwa ni wa Far East?? Click to expand...
teh! teh! ...mkuu mi sijui bhanaa, nina allergy na watu wa far east ndio maana naona ni mmanga!! Mawenzi said: We bado unadhani huyo ni mmanga? Mbona sura yake inaonyesha dhahiri kuwa ni wa Far East?? Click to expand...
grafani11 JF-Expert Member Joined May 24, 2011 Posts 15,441 Reaction score 5,820 Feb 7, 2013 #26 La Biblicana said: Hata sisi tungeweka rekodi, ni vile tu hakuna aliye interest kurekodi ngono isiyo rasmi Click to expand... Mkuu Mrisho Ngasa akikusikia lazima ataipinga hoja yako.
La Biblicana said: Hata sisi tungeweka rekodi, ni vile tu hakuna aliye interest kurekodi ngono isiyo rasmi Click to expand... Mkuu Mrisho Ngasa akikusikia lazima ataipinga hoja yako.
SuperImpressor JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 1,505 Reaction score 649 Feb 7, 2013 #27 LexAid said: Click to expand... Huyo atakuwa mwisrael watu wa vita