Hii kauli ya UKAWA maana yake nini?

Hii kauli ya UKAWA maana yake nini?

British economist

Senior Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
104
Reaction score
14
mkinijibu maswali haya basi UKAWA wamepita na ni washindi ....

1. Wamegundua CCM ni noma, chama kimoja kimoja hakiwezi kuiondoa CCM Madarakani?
2. Zile tofauti za CHADEMA kulaumiana na CUF kuwa kila upande unaunga mkono USHOGA zimekwisha?
3. Kwa tamko hili ni dhahiri CHADEMA watalazimika kuunda bazara la mawaziri vivuli kwa kushirikisha vyama vinavyounda UKAWA, Je MBOWE ana uhakika wabunge wake wa CHADEMA watakuwa tayari kwa hilo?
4. LIPUMBA aliwahi kusema msikitini kuwa WAISLAMU wajipange na wao kutetea Mambo yao, kwa vile KIKWETE waliomchagua kuwatetea amewatosa, Je LIPUMBA atakubali kuona UKAWA wanamsimamisha Mkristo kugombea nafasi ya urais?
5. MPAKA SASA hakuna kiongozi wa juu kabisa NDANI ya UKAWA anayetokea Zanzibar, Je Wazanzibari watakuwa na imani gani na Rais atakayesimamshwa na UKAWA?

6.Endapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atakuwa akitokea CHADEMA au NCCR-MAGEUZI na Zanzibar wakaunda serikali ya Umoja wa Kitaifa kati ya CUF na CCM, hIzi serikali mbili zitashirikiana vipi?
 
Kwaio Maalimu secrtary general wa CUF sio kiongozi zanzibar.

Lipumba aliwahisema wapi kwamba kigezo cha kugombea ni dini ya mtu

Unafikiria kidogo alafu unajilazimisha kuongea vitu vikubwa.
 
Huchoki kutoa pumba zako humu?anyaway njaa na ujinga ndiyo zinakusumbua!
 
Kwaio Maalimu secrtary general wa CUF sio kiongozi zanzibar.

Lipumba aliwahisema wapi kwamba kigezo cha kugombea ni dini ya mtu

Unafikiria kidogo alafu unajilazimisha kuongea vitu vikubwa.
Nenda youtube andika Lipumba msikitini upate alichosema, siyo kubisha bila kuwa na data mkuu, ila ninachoweza kusema Ule ujinga aliousema Lipumba hakuna Muislamu anaweza kuushabikia, alidhihirisha tu kuwa hana uwezo wa kuwa kiongozi
 
modes kila siku nawaambia fungueni jukwaa la matahira hamsikii mnamuona huyo mtoa mada
 
naungana mkono hoja mtoa madaa huenda ni vichaa wa ccm wasiojitambua
 
Jamaa ni kati ya wale ambao huweka akili zao mfukoni!lingeazishwa jukwaa la wanaojitoa ufahamu ingekuwa busara sana
 
cuf aliburuzwa na chadema kwa hoja ya serikali tatu wakasahau ndani ya rasimu kuna mambo muhimu kuliko hiyo serikali tatu
 
.... Utakuwa Unafikiri Kwa Kutumia Masaburi Makalio
 
cuf aliburuzwa na chadema kwa hoja ya serikali tatu wakasahau ndani ya rasimu kuna mambo muhimu kuliko hiyo serikali tatu

... Kama Yapi Mkuu, Kama Yamo Mazuri Mbona Mumeipindua Pindua Rasimu Yenyewe
 
... Hivi Ukimkimbiza Kichaa Aliyekwapua Nguo Zako Ulipokuwa Unaoga Mtoni, Nani Ataonekana Kichaa Zaid?? Basi Mim Ctaki Kumkimbiza Kichaa Nikiwa Uchi
 
Back
Top Bottom