Hii kauli ya serikali ina utata

curie

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2020
Posts
1,096
Reaction score
2,593
Hii kauli ya serikali watu wabakie majumbani si rafiki hata kidogo ..Si wakazi wote wa Mji wa Dar

Wanamajumba wengine wanaishi na kulala usiku unampukutia ..kwa mfano Bodaboda, wamasai , machinga ,mamantilie ,waokota makopo n.k
Ni hayo tuu
 
Hii kauli ya serikali watu wabakie majumbani si rafiki hata kidogo ..Si wakazi wote wa Mji wa Dar wanamajumba wengine wanaishi na kulala usiku unampukutia ..kwa mfano Bodaboda, wamasai , machinga ,mamantilie ,waokota makopo n.k
Ni hayo tuu
Serikali yenyewe ni batili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…