Haimaanishi mtu anapodai haki au kuhoji juu ya jambo fulani, kwamba huko ni kulalamika. Inapaswa majibu sahihi yatolewe katika kujibu hoja husika!
Mleta uzi Watanzania ki-uhalisia tumekuwa ni watu wakulalamika sana,,,,narudia tena tunalalamika sana...
Idea ya KULALAMIKA inakuja,,kwasababu tulio wengi hatupo tayari KUCHUKUA HATUA (tunataka tuonewe huruma)..
Unaambiwa UTAFUTE HELA,,kwa maana kwamba ukiwa na hela utapunguza malalamiko,,,wenye Hela hawalalamiki bali wanachukua hatua (Actions)..
Mifano General ya KUCHUKUA HATUA ni kama::
1. NATO wameiwekea vikwazo Russia,,,but
Putin hajalalamika ila anachukua hatua za kupamba na vikwazo kwa mbinu mbalimbali kupunguza effect za vikwazo...
2.
RUSSIA aliwafungia gas nchi za Ulaya,,, but Nchi za Ulaya hawakulalamika ila walipunguza matumizi ya gesi na kuangalia njia mbadala za kupunguza athari za kukosa gas.
3.
Tanzania serikali imeweka Tozo kwa wananchi bila utaratibu wa sheria ila wananchi wamekua wanalalamika mitandaoni wakiomba waondolewe tozo.
4.
Sri Lanka serikali ilishindwa kusimamia uchumi na kufanya gharama za maisha kuongezeka,, Wananchi hawakulalamika bali walichukua hatua na kuingia barabarani na kutaka Rais ajiuzulu.
5.
Marekani Police walimuua yule Black,, wananchi hawakulalamika ila walichukua hatua kwa vitendo na kutaka yule police achukuliwe na hatua,,,na Serikali ikafanya hvyo
6.
Tanzania Police wanaua raia, ila wananchi wanalalamika mtandaoni wakiomba iundwe tume ya kuchunguza wauaji...