lendila
JF-Expert Member
- Sep 26, 2012
- 5,805
- 4,374
Wana ndugu naomba kuwauliza hii kampuni ya simu tv ni ya nani? Kazi yao ni kuweka habari za ma CCM tu. Ukitafuta habari za wana mabadiliko kwenye habari zao hamna, hii kampuni ni ya nani?
Kama vipi mtu wetu Tumaini Makene anzisha kampuni yetu ya UKAWA utupie mambo mzee.
Kama vipi mtu wetu Tumaini Makene anzisha kampuni yetu ya UKAWA utupie mambo mzee.