Shida ni kwa mamlaka zipi tulizo nazo zenye kuweza kufanya maamzi hayo magumu? kwa ajali ilizozifanya mamalaka zilitakiwe ziwe zimesha isimamisha hata kwa ile adhabu ya miezi 6 kwanza lakini hakuna lolote ni ngumu sana kwasababu hatujui kilicho jificha nyuma ya upeo wa macho yetu.