Hii kampeni ya Zero Malaria imekaaje huko kwenu?

yellowkid

Member
Jul 30, 2017
8
45
Pasina shaka Ni kampeni ya kitaifa, lakini chakushangazi kwanini iwe na ulaji tofauti wa wakusanya takwimu ( data clerk). Mbeya jiji wanalipa 50000 per day, Momba wanalipa 10000 per day.

Hapa naisi Momba wamepiga mpunga. Nirudi kwenye hoja, Momba walishakuwa mabingwa wa tozo za ovyo afu ikifika muda wa ulaji wanapiga chini posho zetu.

Ikumbukwe tu kwamba hata awamu ya pili ya "eprs" walisepa na posho zetu adi leo. Hivi serikali ya wanyonge haiwatazami?

Rejesheni posho zetu, mmetupiga kwenye ushuru wa ufuta, badala ya 3000 mnakwangua 5000.
 
SHIMBA YA BUYENZE

JF-Expert Member
Dec 22, 2014
127,435
2,000

Aliyeelewa please afafanue
 
Savimbi Jr

JF-Expert Member
Sep 23, 2011
6,087
2,000
Pasina shaka Ni kampeni ya kitaifa, lakini chakushangazi kwanini iwe na ulaji tofauti wa wakusanya takwimu ( data clerk). Mbeya jiji wanalipa 50000 per day, Momba wanalipa 10000 per day.

Hapa naisi Momba wamepiga mpunga. Nirudi kwenye hoja, Momba walishakuwa mabingwa wa tozo za ovyo afu ikifika muda wa ulaji wanapiga chini posho zetu.

Ikumbukwe tu kwamba hata awamu ya pili ya "eprs" walisepa na posho zetu adi leo. Hivi serikali ya wanyonge haiwatazami?

Rejesheni posho zetu, mmetupiga kwenye ushuru wa ufuta, badala ya 3000 mnakwangua 5000.
Bora hata wewe unapata hiyo elfu 10 ya kukusanya takwimu maana wanaopata kazi kama hizo basi wana connection kubwa!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom