Hii kama ungekua ww ungefanyaje

karume kenge

JF-Expert Member
Mar 9, 2016
568
421
Habari wadau katika pitapita zako huku na huko si unajua mazingira ya mashambani tena mara ukashikwa na tumbo la kuharisha gafla ukatafuta sehem ya kujisitir japo kichakan hakuna kwa sababu ni mashamba ya watu ndio yamejaa

Uukaona isiwe tabu wacha niingie kwenye shamba la mahindi japo nipate kujistir ukaahusha mzigo wa haja ukafanya mambo yako ukamaliza ukapumua kwa ushindi wa kutoadhirika ukajisafisha japo kwa majani ukavaa ukaondoka.

Unafika kama hatua kumi inaona kuna jamaa anachota ule mzigo wako anaweka kwenye gazeti na kuufunga kama mandaz kumuuliza unapeleka wapi huo mzigo akakuambia we si umeniachia huu mzigo ndani ya shamba langu we niachie huu mali yangu najua mwenyewe napeleka wapi ungekua ww ungefanyaje?
 
Back
Top Bottom