jamaa alikuwa kwenye usaili wa kuomba kazi. na mahijiano yalikua hivi
boss: naomba cheti cha kuzaliwa
jamaa: kwani huamini kama nimezaliwa?
alipowapa chet ikaonekana ana umri wa miaka 72 et wakamwambia siku inayofuata aende na wazaz wake wote wawil
Afu Bibi yake alikua mja mzito!....
Afu jamaa kama masiara, kawapeleka wote + babu na bibiake!