Hii kali!

Acha kabisa ni ngumu mno.

Ila kuna wengine ni vyuma Mkuu, wanajishindilia za kutosha wakitoka hapo wako kawaida kabisa cha zaidi ni lugha tu ndio wanabadili. Yaani ni kinge... mwanzo mwisho. πŸ˜…πŸ˜…
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kuna mzee sehemu ninapokaa analewachakari,ila anaendesha gari toka popote alipo maana huwa wanamsaidia kumpandisha,akifika getini kwake wakichelewa kufungua analala,kumnasua lazima abebwe.......ila huwa najiuliza anawezaje kuendesha gari wakati hata kusimama mwenyewe hawezi.......
 
Duuh!! Huyo mzee ni balaa. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Inabidi wataalamu watusaidie hapa. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mana imenifikirisha au ndio anaendesha tu ilimradi kufika yaani kwenye matuta haya, kwenye taa nyekundu twende yaani hakuna tahadhari kikubwa kufika.
 
Inabidi wataalamu watusaidie hapa. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mana imenifikirisha au ndio anaendesha tu ilimradi kufika yaani kwenye matuta haya, kwenye taa nyekundu twende yaani hakuna tahadhari kikubwa kufika.
Yaani huwa ananifikirisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…