Hii kali tuchukuwe mfano huu

Hii naomba iunganishwe kwenye zile picha za mwaka maana ni kali
 
kuna waziri mmoja hivi kwenye serikali ya ****** anafanana na majamaa haya, tena nilidhani ni yeye, wanajamvi si ajabu akawa ni yeye na maiwafu wake.
 
Hii naomba iunganishwe kwenye zile picha za mwaka maana ni kali
Ni Kweli hii kwangu mimi ni picha ya mwaka 2011

ukali wake uko wapi???
ukali wake ni jinsi walivyoshikana inamaanisha wanapendana kikweli hawa wanyama kuliko sisi binadamu tunapendana kwa ajili ya pesa. Hapendwi Mtu ila pesa mapenzi ya pesa hayadumu.

kuna waziri mmoja hivi kwenye serikali ya ****** anafanana na majamaa haya, tena nilidhani ni yeye, wanajamvi si ajabu akawa ni yeye na maiwafu wake.
Mkuu usimfananishe haya Magorila na binadamu BAN itakuhusu mkuu nakuonya usirudie tena.

ni kweli katuni lakini inatufundisha nini hebu wewe jiulize?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…