Futota JF-Expert Member Joined Dec 11, 2010 Posts 521 Reaction score 88 Dec 5, 2012 #1 Ningeipata ningempatia zawadi shemeji yangu mkereketwa wa CCM ajidai nayo kwenye ile mikutano yao. Cheers!
Ningeipata ningempatia zawadi shemeji yangu mkereketwa wa CCM ajidai nayo kwenye ile mikutano yao. Cheers!
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,338 Reaction score 111,580 Dec 5, 2012 #3 Shemeji yako naye kajaaliwa kama huyu???
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,551 Dec 5, 2012 #4 Ipo jangwani hapa,mwagize shemeji aje achukue