Mtukutu Mkuu
JF-Expert Member
- Jul 10, 2022
- 1,173
- 1,488
Unalalia shuka ukiwaza tozo huku hakuna liwazo? Lalia bed cover huku unakula vitu laini kama "Here and now" ya Luther Vandross ndani ya flip 5. Life is too short trying to perfect everythingKulingana na muda umepost thread ni wazi umelalia bed cover
Hongera kwa kutokujali uchakavu wake ukanunua flip 5
Ubunifu mzuri wa tangazo, mpe chochote Maxence Melo kama shukuraniBaada ya kujishauri nichukue Aina IPi ya radio Kati ya Anker na JBL Nikaona wacha nivute JBL ni unyama mno Basi majuzi nikaingia mjini kununua redio brand za JBL Hawa jamaa redio zao zinapiga mziki mno Ila bei zao s zimechangamka Kidogo lakini ukinunua hutojutia Ukiweka blues ndo utalala kabisa [emoji847][emoji442]
Zipo Aina Ila kulingana na uchumi nikachukua flip 5 asee inapiga ndani ya maji balaa Kilichonivutia inatoa base nzuri na inapiga mziki uliochujika yaani kama kuna instrumental unazisikia yaani inshort hii ni Home theatre portable Na jamaa walioniuzia ni OG yaani ukisiliza Ngoma utajua ni og ama fake
Flip 5 price ni 250000Tsh
Kuna namna nyingine za kutambua kama fake au OG next nitaleta tips kugundua Hilo
#Jblharmankador[emoji91][emoji442]View attachment 2347148
Mimi Sina kitanda Nina godoro inch nane na SVS PB1000 pembeni Wala sijaliUnalalia shuka ukiwaza tozo huku hakuna liwazo? Lalia bed cover huku unakula vitu laini kama "Here and now" ya Luther Vandross ndani ya flip 5. Life is too short trying to perfect everything
Baada ya kujishauri nichukue Aina IPi ya radio Kati ya Anker na JBL Nikaona wacha nivute JBL ni unyama mno Basi majuzi nikaingia mjini kununua redio brand za JBL Hawa jamaa redio zao zinapiga mziki mno Ila bei zao s zimechangamka Kidogo lakini ukinunua hutojutia Ukiweka blues ndo utalala kabisa [emoji847][emoji442]
Zipo Aina Ila kulingana na uchumi nikachukua flip 5 asee inapiga ndani ya maji balaa Kilichonivutia inatoa base nzuri na inapiga mziki uliochujika yaani kama kuna instrumental unazisikia yaani inshort hii ni Home theatre portable Na jamaa walioniuzia ni OG yaani ukisiliza Ngoma utajua ni og ama fake
Flip 5 price ni 250000Tsh
Kuna namna nyingine za kutambua kama fake au OG next nitaleta tips kugundua Hilo
#Jblharmankador[emoji91][emoji442]
View attachment 2347148
Hahah dah ukatoka nduki,hizi JBL ukiiwasha tu unstuka kwanza ile sound ya power onni umasikini tu unatusumbua jaman,hivi vitu hata ukiazima kwa mwenye nacho ukasikiliza utapata hasira z akutafuta hela sana.
kuna jamaa alikuja na charger 5,ilikuwa ni kisanga hakuna wimbo utakuboa kuusikia.
juzi nilikuwa kkoo,nikakuta jamaa ana ya oraimo,imetengenezwa kama homepod ya apple ile first gen,wanauza 180000,nusra nichane wallet,kusikia huo mziki wake nikasepa bila hata kutoa maelezo ya msingi[emoji28]
Kama unawasha ndinga vile[emoji38][emoji3]Hahah dah ukatoka nduki,hizi JBL ukiiwasha tu unstuka kwanza ile sound ya power on
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Hiyo ni Oraimo gani, nina hii hapani umasikini tu unatusumbua jaman,hivi vitu hata ukiazima kwa mwenye nacho ukasikiliza utapata hasira z akutafuta hela sana.
kuna jamaa alikuja na charger 5,ilikuwa ni kisanga hakuna wimbo utakuboa kuusikia.
juzi nilikuwa kkoo,nikakuta jamaa ana ya oraimo,imetengenezwa kama homepod ya apple ile first gen,wanauza 180000,nusra nichane wallet,kusikia huo mziki wake nikasepa bila hata kutoa maelezo ya msingi[emoji28]
no sio earphone ni speaker vipi hizi wireless zikp vyema au unga unga mwana??maana jamaa alinambia 60kHiyo ni Oraimo gani, nina hii hapaView attachment 2347809
ilikuwa kinyonge sana.Hahah dah ukatoka nduki,hizi JBL ukiiwasha tu unstuka kwanza ile sound ya power on
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Huwa natazamia documentaries zaidi, sio mziki kwa sana ila zinafanya poa kiasi chake. Nilizichukua 75k mara tu zilipotokano sio earphone ni speaker vipi hizi wireless zikp vyema au unga unga mwana??maana jamaa alinambia 60k
Kabisa ndugu kama ulikwepo si niliweka Ngoma ya jide nikilala naota ILO vibe sio mchezo [emoji91]uzi tayari, na hiyo ndio uliyonunua bei sana kiasi kwamba uliweka blues usingizi ukapita na umeamka mda du na kuleta uzi ulio kamili na picha, safi sana nami ngoja niende chap kwa muhindi
Ikichaa na upgrade mpaka tufike JBL Boom [emoji16][emoji442]Kulingana na muda umepost thread ni wazi umelalia bed cover
Hongera kwa kutokujali uchakavu wake ukanunua flip 5
Shukran nilipata bahati ya kusikiliza zote mbili Anker na JBL lakin haya masikio yakadata na JBL vibe mpaka Moyon unafall