Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 16,101
- 24,356
general knowledge, ewe kama mtoto wako unamuwekea WASAFI TV siku nzima anajifunza kumenua kiuno kama maua sama ndio itafahamika, ataulizwa unapenda mziki gani, unajua kuucheza, etc atajibu na takjata mauno, hiyo ndiyo general knowledgeπππ Yaan katoto ka 1-3 kana pigwa interview jaman haya ni maajabu binafsi nayaona embu naomba nijuze interview ya watoto wa umri huo una husisha nini hasa ?
Okay !general knowledge, ewe kama mtoto wako unamuwekea WASAFI TV siku nzima anajifunza kumenua kiuno kama maua sama ndio itafahamika, ataulizwa unapenda mziki gani, unajua kuucheza, etc atajibu na takjata mauno, hiyo ndiyo general knowledge
Shule nzuri inapika wanafunzi yenyewe sio kudandia tu watoto vichwa alafu wajewajichukulie sifa na utukufu wao
Inaonesha ukilaza wa wenye shule na waalimu wao. Hawaoni hata mfano mtihani wa taifa inachukua muda gani?Leo ni siku ya interview hapa Rightway Nursery and Primary school, Mbezi .
Haiwezekani mtoto wa lower primary school(std 1-3) afanye mtihani kuanzia saa 2 Asbh mpk saa 7 mchana . Mtoto anatahiniwa masomo 4 .Wakati zamani kwenda form one unatahiniwa masomo 2 tu, Hesabu na Kiingereza.
Naomba wizara ya Elimu ifatilie hili Jambo. Yaonekana hIzi english medium schools haziratibiwi ipasavyo.
Kwa Tanzania yetu wazazi wanaangalia matokeo ya necta haijalishi shule imewapika au imechukua vichwaShule nzuri inapika wanafunzi yenyewe sio kudandia tu watoto vichwa alafu wajewajichukulie sifa na utukufu wao
Kumbuka matokeo mazuri ndio sale point ya shule za Kitanzania, hivyo wenye shule lazima wapige mchujo mkali ili wapate wanafunzi bora, wafaulu necta, shule ipate sifa, wanafunzi wengi wajiunge, shule wapige pesa.Unajuaje kama mtoto mdogo ni kilaza au sio kilaza.. Mtu ubongo unakamilika kujua akifikisha miaka 10..
Unawaacha wacheze wakishikwa na haja kubwa unaangalia kanavyo omba msaada. Vile visivyo na tabia nzuri Vita poo kwenye nguo.πππ Yaan katoto ka 1-3 kana pigwa interview jaman haya ni maajabu binafsi nayaona embu naomba nijuze interview ya watoto wa umri huo una husisha nini hasa ?
πππ Bingwa hii theory yako ina furahishaUnawaacha wacheze wakishikwa na haja kubwa unaangalia kanavyo omba msaada. Vile visivyo na tabia nzuri Vita poo kwenye nguo.
Kwani lengo la mimi kuwapelekea mtoto ni nini!?Leo ni siku ya interview hapa Rightway Nursery and Primary school, Mbezi .
Haiwezekani mtoto wa lower primary school(std 1-3) afanye mtihani kuanzia saa 2 Asbh mpk saa 7 mchana . Mtoto anatahiniwa masomo 4 .Wakati zamani kwenda form one unatahiniwa masomo 2 tu, Hesabu na Kiingereza.
Naomba wizara ya Elimu ifatilie hili Jambo. Yaonekana hIzi english medium schools haziratibiwi ipasavyo.
Mimi personally watoto wangu wawili nawasomesha hapo na siwezi kuwahamisha, it is one of the best schools. Angalia matokeo yake kimkoa na hata kiwilaya imafanya vizuri sana.Tunahukumu vibaya kwa kukosa taarifa sahihi toka upande wa shule.
Kuna mdau kafafanua hiyo shule wanapima watoto na tabia zao, hivyo katika hayo masaa mengi wanakuwa wanacheza tu huku wanamsoma character zake, kama mbaya wanamkataa hata kama mitihani ya taaluma kapa 100% yote.
If you think education is expensive try ignorance. kama unauelewa msemo huu basi utatuliaWawapunguzie ada watoto wanaofaulu sababu wazazi wao tayari wameshafanya kazi kubwa. Siyo kuwaadhibau wazazi kwa ada kubwa.
Hao wanachukua Top layers ili ziwasaidie ku brand biashara yao
Nyie ndio wale mnapima ubora kwa matokeo ya mkoa!? Does your kids learn and adopt the knowledge!? Au mnataka ushindani tu ..tumekuwa wa kwanza ...kimkoa!?Mimi personally watoto wangu wawili nawasomesha hapo na siwezi kuwahamisha, it is one of the best schools. Angalia matokeo yake kimkoa na hata kiwilaya imafanya vizuri sana.
Alieanzisha mada hii hata hana alijualo kuhusu shule hii.
We kwanza hata sidhani kama unasomesha au unawatoto. Kama unaufahamu kwa mimi tuu kukuambia watoto wangu nawasomesha hapo na sina mpango kuwatoa basi itoshe kukaa akilini kwako kua shule ni nzuri.Nyie ndio wale mnapima ubora kwa matokeo ya mkoa!? Does your kids learn and adopt the knowledge!? Au mnataka ushindani tu ..tumekuwa wa kwanza ...kimkoa!?
Watoto wanapimwa kwa kukariri taarifa .. jana kuna mtoto wa kitanzania ametoka shule namuuliza kesho kwanini hamuendi shule akaniomba kwanza "Niongee kingereza" !? Nikasema sawa..
Akajibu Because tomorrow we are celebrating Tanganyika Independence day! Nikamuuliza na kwa kiswahili!? Hajui... Huyu mtoto kakariri.. wazazi wake Wanakenua tu utadhani kuongea kingereza ndio mtoto ameelewa... na shule inakuwa ya kwanza kimkoa huku kwetu mpaka ya nne kitaifa....
Elimu lazima ije na Maarifa. Kama mtoto hawezi kuitafsiri Elimu its useless... Hata angekariri dictionary na kupass mitihani yote..
Mbona shule nyingi mkuu? Kwani lazima aende hapo? Fungua shule yako yenye somo moja basi
Leo ni siku ya interview hapa Rightway Nursery and Primary school, Mbezi .
Haiwezekani mtoto wa lower primary school(std 1-3) afanye mtihani kuanzia saa 2 Asbh mpk saa 7 mchana . Mtoto anatahiniwa masomo 4 .Wakati zamani kwenda form one unatahiniwa masomo 2 tu, Hesabu na Kiingereza.
Naomba wizara ya Elimu ifatilie hili Jambo. Yaonekana hIzi english medium schools haziratibiwi ipasavyo.