Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,301
- 40,930
Hivi mabeberu huwaga ni madume ya mbuzi eeh?Wanamkagua huwenda ukakuta ametumiwa na mabeberu.
Mabeberu gani?Hivi mabeberu huwaga ni madume ya mbuzi eeh?
au hata kondoo,but why waliamua kuyaita mabeberu?
ushasahau mwanzoni umeandika nini?Mabeberu gani?
Teh huyu viatu vya samaki ni wa kupiga makofi hahahaushasahau mwanzoni umeandika nini?
shame!
๐๐๐Wanamkagua huwenda ukakuta ametumiwa na mabeberu.
Ana ugonjwa wa kusahau๐๐ushasahau mwanzoni umeandika nini?
shame!
Siku zote yanatumia nguvu yaliyo nazo kuwanyanyasa wedogoHivi mabeberu huwaga ni madume ya mbuzi eeh?
au hata kondoo,but why waliamua kuyaita mabeberu?
๐๐Masikini dogo sijui kaharibu nini? Yawezekana kakabashia kademu kadogo kenzake