Hii inshu ya Stendi UNTD imekaaje

Hii inshu ya Stendi UNTD imekaaje

Kazitunayo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2013
Posts
3,784
Reaction score
3,210
Nimefungua kipindi cha EATV cha michezo nimekuta anaongea Damas ndumbaro analalamika kua stend Untd imepanda kimakosa na kua imependelewa anaejua ii inshu vizuri ebu atuwekee apa
cc:jamal malinzi
 
who is ndumbaro first of all ? Na stendi utd ipo wapi ? Inamilikiwa na nani ? Just for peace.
 
Nimefungua kipindi cha EATV cha michezo nimekuta anaongea Damas ndumbaro analalamika kua stend Untd imepanda kimakosa na kua imependelewa anaejua ii inshu vizuri ebu atuwekee apa
cc:jamal malinzi

Damas Ndumbaro? Una uhakika? Kaongea TV gani?
 
Ni mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi Simba SC.

Hivi mkuu ikitokea kuna makosa yalifanyika katika mechi ya yanga na azam na ikaamuliwa mechi irudiwe je domayo na kavumbangu watachezea timu gani na let say mbuyu twite alisajiliwa na timu ingne na akaichezea mechi kadhaa je kwa mechi hyo ya marudiano angeruhusiwa kuichezea yanga
 
Back
Top Bottom