timu za west Africa zinajielewa na ndiyo maana wanafika mbali ligi ya mabingwa.Ukicheza kiurojourojo tunakufyeka mshahara!View attachment 1661955
nadhan kuna criteria wameziweka, zinazofanya hii adhabu iwe na mashiko, ingekuwa hivyo wangekuwa wanamuadhibu mchezaji mmojammojaKwa hiyo mfano Golikipa akiboronga akafungwa kizembe inabidi team nzima mkatwa mshahara? hii sio njia sahihi ya kuimprove performance ya team,huu ni uhuni na ujanja ujanja tu ambao hautakiwi kufumbiwa macho hata kidogo.
Samahani mkuu me naonaga huo ukanda ni dhoofu tu tena bora ya Central Africa, kama hutojali ni team gani hizo zinazofika mbali ligi ya mabingwatimu za west Africa zinajielewa na ndiyo maana wanafika mbali ligi ya mabingwa.
Horoya ni mojawapo..Samahani mkuu me naonaga huo ukanda ni dhoofu tu tena bora ya Central Africa, kama hutojali ni team gani hizo zinazofika mbali ligi ya mabingwa
Horoya hii ni ingizo jipya mkuu baada ya kuwekeza pesa ndefu hivi karibuni ndio wameanza kuvuna matunda ila kwa kipindi kirefu team zao hazina matokeo mazuri klabu bingwa ukitoa miaka ile ya Enyimba. Ila uko sahihi kwetu uswahili ni mwingi badoHoroya ni mojawapo..