HII INAUMA SANA

Yaani ni point ya msingi sana hii. Kila mwanaume mwenye akili anapaswa kulitambua hili. Kidume lazima uwe na wanawake watatu na kiendelea ulowa na mmoja unajichimbia kaburi tuu
 
Endelea na Mapenzi ya kifilipino na kupetipeti tu. Slogan yangu kwenye Mapenzi ni hii... Hapa Kazi Tu...
 
Mkuu kwanza pole sana. Ila jitahidi wakikueleza hivyo wewe wapitie na mbakie kuwa marafiki maana sometimes kisicho chako kitakuumiza tu km sio kukua
 
Lakini nina madhaifu yangu pia. Sina moyo uliopondeka, siwezi kuvumilia kuona mwanamke ananipenda but at the same time anampenda zaidi mwanaume mwingine yaan bora hata asingenipenda na asinipende ndo atazidi kuniumiza.
Unahakika gani anakupenda kama sio ana pretend?
 
Acha kulia wewe, wachuchu wapo wa kumwaga...
Mwamba anacholia si kwamba amekosa wachuchu,bali wachuchu anaowaamini wanaishia kumliza tu,huyu mjuba inaonesha anapenda kuchili na Manzi mmoja lkn kila anayempata anaishia kumliza na kumwachia majonzi mithiri ya mtu aliyepigwa na bomu la machozi, hicho ndo kilio chake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…