Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,217
- 3,125
the way i see it, inaonekana kama hamna tena kizuizi 'huko'. Ni kweli kwamba gas kila mja anaipunguza huko..lakini nadhani si kihivi..mbele ya national tv??
Vaginal flatulence (flatus vaginalis in Latin) is an emission or expulsion of air from the vagina that may occur during or after sexual intercourse or (less often) during other sexual acts, stretching or exercise. The sound is somewhat comparable to flatulence from the anus but does not involve waste gases and thus often has no specific odor associated.
Mzee kuna wadada huwa wanatoa milio sehemu za siri wakati wanafanya mapenzi mlio ni kama wa kujamba (Vaginal flatulence)
Wikipedia
Hiyo ni explainable kutokana na kusukumwa kwa entrapped air. Lakini hiyo nyingine mmhhh?? sina imani.
Mbona si wadada wote hutoa hiyo milio?
Labda pia kwa wengine huwa ni maumbile maana wakati wote huwa waachia tu mashuzi! labda ile scenario nyingine nati zimelegezwa!!!!!! najua huku ndiko wengi wanakofikiria
Ha ha..kiongozi usinikwoti.
Nilikuwa tu najiuliza aloud kwamba mtu anawezaje asijicontrol mbele ya national tv?? is it possible??(nikiasssume kuwa nati zinafanya kazi, na factors nyingine zipo constantly normal).
Hahahahah hili nitatizo kuna baadhi huwa hawezi kabisa zuia......