Hii inanitatiza sipati jibu

Hii inanitatiza sipati jibu

Apologise lady nadhani pia nimemuelewa huyo jamaa. Maana yake ni mfano umemuandika soulmate wako about something then akaingia humu akaona ulicho muandikia kuhusu so hapo ego atajiskiaje so point to get there is the reaction.. nadhani itakua na two sides positive kua utajua reaction yake but negative utaweza mpoteza

Na mim nimemuelewa hvo,

Nimewaza nikacheka kiukweli mtu akijijua kaandikwa lazima pachimbike, maana humu ni full malalamiko,
 
Haha jamaa anatokea mtaani kama umetokea mtaani utamuelewa.
🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃💪
 
Kweli tunatumia ID tuzijuaxo ssisi wenyewe. Hivi km mpenzio nae yumo humu halafu anakutana na uzi ambao umemtokea wrwe ndio umeuandika atajisikia vp halafu reaction itakuwaje? Nisaidieni wadau. Hasa mambo ya mgegedo waume wajisifia saana hlf mkeo au demu wako anakuta umeandika exactly vile ulivyomfarua inakuwaje??

Hapa itategemea na temparament ya mate wako. Kuna wanaoiona kama sio big deal na wale hawapendi mambo yaanikwe hadharani.

Inabidi uwe unamjua partner wako vizuri kabla kupost mambo kumhusu.
 
Back
Top Bottom