mamitod
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 914
- 385
Kweli tunatumia ID tuzijuaxo ssisi wenyewe. Hivi km mpenzio nae yumo humu halafu anakutana na uzi ambao umemtokea wrwe ndio umeuandika atajisikia vp halafu reaction itakuwaje? Nisaidieni wadau. Hasa mambo ya mgegedo waume wajisifia saana hlf mkeo au demu wako anakuta umeandika exactly vile ulivyomfarua inakuwaje??