Hii inamaanisha nn kwa demu


danganya totoe
 
Si lazima wote tuanzishe thread,unaweza kusoma na kuchangia za wengine tu!
 
 
mkuu tangu juzi post zako tete sana,unajaza server na kusabisha topic zingine kuonekana za zaman na kufanywa invalid

Natarajia after few days utapost uzi na wew about ur newmchuchu hw good he is?
 
Natarajia after few days utapost uzi na wew about ur newmchuchu hw good he is?

hhaahaha mtena nina kifua mimi,siri za ndani zinabaki ndani wewe ushawahi pigwa kibuti?najua hutasema ila imagne kama hicho tu husemi wakati ni jambo la kawaida iwe mimi niseme mambo ya ndani
 
Limeleta mgogoro mkubwa swali hili
Hivi ukiona demu anakuangalia saana na kila mki kaa na mkikutana anakuangali tu inamaanisha nn


Wkt yy anasukwa nywl kibarazani, ulilala pembeni yao, ukaota unagegeda - ukapiz! Anakuangalia hapati picha ulivokuwa unakakamaa pale kibarazani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…