Haha kwani lazima awike kila wakati. Halafu sio lazima kila genye zikija mchakatane. Kuna kuwa na kiasiUtakua jogoo wako hawiki. Ndio maana yake.
Sasa kwani si lazima wote wawili muwe mnataka. Mi nilikuwa nataka nicheki movie kali imefika patamuUlitaka aseme kwa kutumia nini ili ujue kuwa alitaka umgegede.
Halafu unakuja kutuuliza eti ina maanisga nini.
Sasa kwani si lazima wote wawili muwe mnataka. Mi nilikuwa nataka nicheki movie kali imefika patamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nyuzi za kijinga Kama hizi msitegemee kuwa maarufu JAMIIFORUMNampenda ananipenda. Tumefahamiana kwa muda kama wa mwezi mmoja.
Siku hiyo ananialika nyumbani kwake tuonane baada ya kutoonana muda mrefu. Najiandaa freshi naenda.
Njiani napitia keki na yoghurt kama zawadi. Nafika kwake ananipokea kwa fujo, kiss na hugs za kutosha.
Ananilisha keki na yoghurt. Then anaweka movie tunaangalia. Ni comedy movie nzuri na nnafuatilia kwa makini. Mara ghafla movie inapigwa pause.
Ananivamia na kuanza french kiss, kama nusu saa nzima, ukishika kwingine unaambulia kibao. Na ukicheki sina interest ya kitu chochote on that particular day.
Basi baada ya hiyo session kuisha movie haiendelei tena naaga naenda home.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha naona umeamua kunifuata huku.Kwa nyuzi za kijinga Kama hizi msitegemee kuwa maarufu JAMIIFORUM
usjali chifu tuko pamojaHaha naona umeamua kunifuata huku.
Chill brother, no need to complicate things.
Maisha yenyewe haya haya
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi mtu safi sana sina shida wala kinyongo na mtu. As long as siku ziende, mambo yaendeusjali chifu tuko pamoja
Kwani ni lazima kila genye zikimpanda mtu mchakatane?hukutumia nafasi yako kama mwanaume
We jilengeshe uone mziki wake kama mchele mchele au ugali wa muhogo.Umetengewa chakula mezani bado upo unashanga shangaa tu bado! hauwezi kuwa katika chama cha mabaharia ww au mchele ww?