Habari wanajamvi hivi karibu mpenzi wangu ameanza kuvaa cheni mguuni, hapo kati nilisikiaga kuvaa hivi vitu kwa mtoto wakike maana yake anatoa mazingira, nashindwa kumuuliza mpenzi kama anacheza huu mchezo asee hivi kuna ukweli wakuu hizi mambo na hiyo michezo
Tatizo hisije kuwa anatoa mazingira huko nje alafu mimi anaifanya bwege [emoji28]
mpenzi kama anatoa mazingira kuna haja gani ya kuuliza? ukiwa nae mchezoni angalia mlango wa uani kama umefungwa au umerudishiwa tuu.....pia ni urembo na ni tamaduni kwa baadhi ya watu
Kwa jinsi picha inavyoonekana, umejipiga mwenyewe (postion of camera) halaf ukaleta uzi kutuuliza cc. uckwepe jukumu lako la kutwambia umevaa hivyo una maana gani?.
Tafsiri yake ni kuwa wewe humridhishi, so yupo anatafuta wa kumridhisha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji377][emoji377][emoji377][emoji124][emoji125][emoji125]
Kwa jinsi picha inavyoonekana, umejipiga mwenyewe (postion of camera) halaf ukaleta uzi kutuuliza cc. uckwepe jukumu lako la kutwambia umevaa hivyo una maana gani?.
Wenyewe wanasema kuvaa miguu yote miwili ni urembo. Ila kuvaa mguu mmoja ni TANGAZO LA BIASHARA.
Ye atakua anajua labda anafanya biashara gani!
So filthy asee!