Mbona wapo 6 ila kofia ni 5?! Au mmoja alikuwa anawasindikiza wenzake?View attachment 159124
wakati mwingine mbwembwe kolezo zinatafakurisha sana
Mbona wapo 6 ila kofia ni 5?! Au mmoja alikuwa anawasindikiza wenzake?
Mmoja wao atakuwa anasoma certificate. Waliobaki degreeMbona wapo 6 ila kofia ni 5?! Au mmoja alikuwa anawasindikiza wenzake?
Maketekwani hapa wapi?
uchambuzi jadidi pia, lumaniyisa upo mkuu?wa pili kutoka mwisho kulia amerusha juu zaid ya pale picha ilipoishia.kuthibitisha angalia macho yake hayaface kofia ya mwisho ila juu zaidi na macho ya wamwisho kulia yanaangalia kofia ya mwisho kabsa hata mkono wa wamwisho ukotargeted kudaka hivyo ina maana kofia yake iko karibu zaidi
uchambuzi jadidi pia, lumaniyisa upo mkuu?
wa pili kutoka mwisho kulia amerusha juu zaid ya pale picha ilipoishia.kuthibitisha angalia macho yake hayaface kofia ya mwisho ila juu zaidi na macho ya wamwisho kulia yanaangalia kofia ya mwisho kabsa hata mkono wa wamwisho ukotargeted kudaka hivyo ina maana kofia yake iko karibu zaidi
wa cheti huwa hawamalizi eh?