Watanzania wenzangu tuepuke kuwagwajimisha wengine kwani huu si ustaarabu.
Hata kama una maoni tofauti na wengine tumia busara, acha gwajima=acha jazba, kuropoka, kudhalilisha
Wenye gwajima zao wataishia kwenye vyombo vya dola
Bado naona wapo watu wengi hapa nchini ambao hupenda kuwagwajimia wengine badala ya kutumia lugha ya staha
Kardinali Pengo amegwajimishwa sana kuliko alivyostahili kwa kutoa maoni yake binafsi kwa kurekebesha mstari katika makunaliano ya Jumuiya ya Wakristo Tanzania.
Kama unagwajimishwa, basi badala ya wewe kujibu kwa gwajima jibu kwa upole na busara kwani hii itaepusha ugomvi usio wa lazima